Service lazima kukuwa bomba…

September 5 2014 11:56am     0 704

Photo Credit:Google   Tingua risto

This round gava imeamulia servive providers wa nangos. Wameshoiwa watawai tax penalties mwenda wakizidi kupeana service imbo. The Communications Authority of Kenya (CAK), wamekuwa wakikemba reports kuhusu quality of service na hazijakuwa zikiwajazz. Hadi ikabidi wamereview law na kupata wanauwezo ya kuenhance penalties kwa hizi makampu.
For example, safaricom wanaweza pata maximum penalty, zaidi ya billion jamo, kulingana na earning report za kampu. Mambo zinachekiwa ni kama; completed calls, dropped call rates, call set up time, call up success rate, handover acess rate, speech quality, na Rx Level ( strength of signal). 
So far hanaku mobile service provider ameweza kufikisha hiyo target ya CAk. Kwa hivyo sahii wamewekewa pressure na ata wakijitetea venye gava haijashughulika na infranstructure, itabidi wametii ama watapoteza mkwanja.

 

Related Stories