Waiter aka break record na tei

September 8 2014 1:22pm     0 803

Photo Credit:itv   Tingua risto

Husuko Germany, msee anajulikana kama Oliver Struempfel, alimanage kubeba mugs mbao na saba zikiwa full one time.

Husuyu mudhii alimanage kubeba hizo tei zikiwa zina weigh 62 kg for 40 meter, kwa hii festival inajiita Gillemoos Beer Festival husuko Abensberg.

Struempfel ame work for 17 years kama bar tender, alafu anadaisha kuvunja hii record hapana ma game, ina need hard work. Anadai sio kubeba mugs pekee ndio ilimfanya avunje record but pia amekuwa akingia gym.

And then anadaisha kabla akuje kuvunja record hizo mugs ziliangukaga mara tatu.

Related Stories