Mayadi kuenda chuo ni hustle kibao….

September 8 2014 4:25pm     0 713

Photo Credit:xpose   Tingua risto

Waniaju wa siku hizi wamependa kubembelezwa sana. Utapata mtoi anapewa chenye anadai ati ndio akubali kufika daro. Wakati enzi zetu hapakuwa space ya kukuwa na options. Alafu nao maparo wetu walikua na wanakapitia juu ilibidi kuenda kalesa kilometer mob tu ndio waweze kuchop.

Lakini kumbe kuna mayadi waniaju wanakuanga na masaibu za kimataifa, ikifika risto za kusaka education. Hii ni coz kuna places chuo ziko far na mamtaa. Na hanaku siku hawa mastiude watahata kufika daro.  

Reasons kama kukosa mkwanja ya ferare, floods kuchuja connecting bridges, area hanaku baro, mtaa ziko ninda ya foree, ama kushuka kutoka kwa milima. Ata kama wale wengi hujichuja, kuna wale hukazana kabisa kupata hisihi treasure, na inabaki wanafanya hivi kila day.

So kama wesewe ni wale hutake priviledges kama hizi for granted, fikiria sana venye unaweza change. Yebi mbisha hasapa nichi ndio ukae rada.

Related Stories