Royal famo inagrow tu…

September 8 2014 4:42pm     0 774

Photo Credit:Google   Tingua risto

Parasha kuhusu Prince William na Kate Middleton kuexpect mniaju wa seko, zimeconfirmiwa  kuwa true. Hii ni zaidi ya mwaka jamo tangu waget kachali,Prince George, na sasa anaweza pata kabro ama mtasis.

Kate akiwa na ball ya huyo mniaju wa fao, alishow mapema signs za pregnancy. Hadi ikabidi amehepeshwa hosi, place alikaa siku tatu akitreatiwa for acute morning sickness. This round ni the same pia lakini imebidi doki kufika kejani hasapo Kensington alace kumyebi.

Huyu mniaju mnira atakuwa royalty wa fotho kukwachu throne, akiskuma Prince Harry hadi position ya ngovo. Sahii kwa hiyo line ni Prince Charles ako mbana jamo, Prince William wa seko,alafu  Prince George atakuwa wa thado.

Atleast laws za Brito zilibadilishwa ndio mniaju wa gender yoyote anaaweza kukwachu ile throne. Kwa hivyo this round dame ama chali, bora ni royalty, atakubalishwa kurule. Tunachill sana kucheki vile kutaenda. Congrats kwa hii royal famo.

Related Stories