Hataki waniaju wake waguse futa ya Amero

November 11 2014 11:39am     0 534

Photo Credit:SB Nation   Tingua risto

LeBron James amekuwa player mnoma sana wa futa ya Amero. But anadaisha hangetaka waniaju wake kuplay hii game ata kidogo. Hii riba ilimochoka alipokuwa na Chris Broussard mwenye anaspin janta na ESPN.

Chris alipost hii riba kwa twitter handle ya kwake, na hakudaisha ni mbona LeBron hataki waniaju wake maboy wawil,i waguse American Football. But kulingana na expression yake ilikuwa inashow tu venye yeseye anajua hisihi game ni dangerous tu sana.

LeBron sio msee wa fao kujitokeza na kudaisha hisivo. Na hata Orezo wa Oteto Barack Obama, pia yeseye alidaisha ata angekuwa na watoi vijana, hanaku venye angewakubalisha kugusa hii game.

LeBron alikuwa ameiva ile deadly akiwa senior years ninda ya high school. Venye alivunjika wrist alichorea hii game na hakuwai rudi kuplay tena. But tunajua kwa saa hii anagusia Cleveland Cavaliers bake, na bado husuko anafanya mambo ile deadly.

Related Stories