Hanaku kumarika bila matress

December 9 2014 12:12pm     0 1956

Photo Credit:Google   Tingua risto

Venye nilicheki hii risto, nilibaki nimehurumia mambuus vimost. Manze kama bado tunadebate kama ni poa kukuwa na polygamous marriage hasapa 254, husuko Rwanda madem wanaumia. Wamelazimika kuspend life zao wakisaka suitors wa kuwamarry.

Inakuwa hustle zaidi juu ni madem ndio wanapaswa kulipa dowry. Kitu hubidi famo zao kukinda shake na livestock ndio waweze kuafford kulipia prezo za kupelekea chali. Alafu chenye wamewekea lazima kuget zaidi ya ngata, keroro unga ya cassava, beans, shuge na rice, ni double mattress.

Saa hizo bei ya mattress ni same na mshande ya odijo wa chuo ya gava, ikimuja around thao sita hivi. Sa kwa mambuus wako mashinani alafu hawana waks, inakuwa pressure kibao kusaka mkwanja ya kuwai hizi stuff.

Alafu ni blanda kwa society kuget waniaju kama hujamarika. Na inakuwa ngori zaidi ukifika kwa in-laws bila matress, juu watadinda wesewe kumarika kwa boma yao. Tangu lini ikawa janta ya stress kupata ulovito bana?

Related Stories