Paka haipendi Kimanzi

October 9 2012 11:31pm     0 2428

Photo Credit:Dennis Mabuka/Goal.com   Tingua risto

After kuweka record mwenda yenye haija breakiwa mpaka saa hii, Sofapaka wana kaa ni kama wana blanda after blanda juu ya kuwa na sonko mwenye ana micro-manage team na ako na technical bench.
Sasa risto ime toka ati Francis Kimanzi ame chujwa waks juu ya ku letana juu na coaches wa SofaMiau, Stewart Hall.

Related Stories