Trevor Noah kwenye Daily Show?

March 30 2015 4:56pm     0 1806

Photo Credit:Amazon   Tingua risto

Famo ya hapa Africa iko na reason ingine ya kunice. Hii ni after riba tumeget kuhusu huyu boiz nifla kutoka SA, comedian Trevor Noah na vile ameumeria. Tangu aishie Oteto, Trevor Noah amekua akichocha umati huko, kupenya kwa show kadhaa za comedy na aliweza kuget waks kwa jamo inajiita The Daily Show ka Correspondent. Yeye ndio correspondent mnira kwa wote after kujoin December 2014. Jon Stewart kudaisha anataka kuchomoka, watu kadhaa walisemekana watakua next presenters wa hii show ya kutoka kwa Comedy Central.

Jon Stewart amekua lead presenter wa The Daily Show for miaka 15 na around Feb akadaisha anataka kujichuja. Wasee kadhaa, majina bigi bigi ka Jason Jones, Samantha Bee, Tina Fey na Jessica Williams. Trevor mwenyewe aliget news akiwa Dubai na hakua anaamini. 

Hapa tunataka tu kumpongeza kwa waks poa anado na aendelee tu kupeperusha flag ya Africa juu. Unang'am waks zake za kutoka akiwa SA?

 

Related Stories