Sterling hana njaa ya ganji

April 2 2015 1:22pm     0 2647

Photo Credit:BBC Sports   Tingua risto

Majina zake zote ni Raheem Shaquille Sterling aliboniwa 8th Dec 1994 saa hii yuko na miaka mbao. Sterling ni msee wa Jamaica but aliboniwa UK, na ana play futa yaki pro kama winger nab ado attacking midfielder ama striker.

Anachezea Premier League Club Liverpool FC husuko England.Sasa kulingana na statement yake kutoka BBC sports news interview amedaisha yeseye akiwa na miaka mbao hana haja ya ganji kulingana na speculation zime kuwa ziki go round.

Wadhii wengi wanadasha pamekuwa na rumbles na team yake Liverpool, but Sterling amekwara na akadaisha chenye yeseye ana want ni ku play tu futa smart na hana risto ingine. Bado inasemekana alikuwa anakwara ku sign deal ingine na Liver.

Wasee wanadaisha ali turn down deal ya pounds soh moja a week, but yeseye hupata pounds salasa na kobole a week.

Related Stories