Njaro nira ya kupika nyam chom

May 27 2015 3:45pm     0 1820

Photo Credit:Google   Tingua risto

Wakenya hutambulika sana juu ya love yao ya nyam chom. Ata wakiwa majuu huwezi kosa wakisifiwa bash zao zikiwa combi za tei na nyagu imechomwa. Lakini kumbe kuna wadhii wengi husuko njei wakona hisihi ulovito kwa wingi hadi wamesaka njaro tofauti na nira ya kupika hiyo nyagu.

Inadaishwa scholars kutoka Syracuse university husuko Steto wamewai njaro mwenda ya kuduu barbecue wakitumia Lava Grilling. Mwanzo lava hupatikana tu kwa milima zikona volcanic errption, na itakuwa blanda sana kujiseti hasapo karibu eti unajaribu kuchota.

Sa imebidi hawa wasomi kujimekishia yao special ya hii wera. Wanadaisha waliweza kumeltisha madimanga ndio zikuwe lava for 70hours. Unaweza kenga hiyo test yao kwa videsa hasapa. Natamani ningekuwa hasapo kuonja hiyo nyagu bana.

Related Stories