Kumbe unaweza kusahau!

May 27 2015 3:56pm     0 1995

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kumbe kuna venye unaweza kusahau kuride bike. Kumaanisha venye wadhii hudaisha eti mambo kadha ni rahisi kama kuride bike ni vako. Lakini hisihi inaweza kukuwa proof baada ya ukarabati nifla zikifanywa.

Mjamaa mjamo aliamua kuweka challenge mwenda ya kufanya brain ichanganyikiwe na kufikiria eti imesahau skill ya life yenye imekuwa ikitambua tangu zamo.

Lakini mradi ilikuwa kuonyesha kwamba ukitrain brain sana sana ya mniaju, ataweza kuwachu rada mbio kuliko brain ya msee ameshagrow. Uzuri ni eti bado unaweza learn mambo nira but ni beteta kuzitambua ukiwa mpienga. Yebi hisihi videsa ndio ushikanishe. 

Related Stories