Serena Williams aka chongolewa ile deadly

June 8 2015 9:16am     0 1987

Photo Credit:Jinner Desmond Harris   Tingua risto

Na ata after kushinda Lucie Safarova na kuwin French Open on Sato, Serena Williams hakuwekwa ata kidogo kwa social media. Inasemekana alinyeshewa ile deadly na wasee wakimchongoa na risto ya racism na sexism.

Hii ni risto ime kuwa iki mwandama kwa career yake yote, Serena alikuwa anatoshanishwa na mnyama, na anakaa mjama na eti ni msee anaweza kuingiza njeve na sio msupuu….wah akianani….

Kwa twitter wasee walikuwa wanadaisha eti manze ana fanana na gorilla na bado anasound kama gorilla mwanzo akiwa anapiga teno. Mwinengi na yeseye akadaisha Serena ni mjamaa na sio nguna.

BNP Paribas Open tona husuko Indian Wales, Carlifonia, Serena na mtasis wake Venus walikuwa booed na mafans ikisemekana wamematch fix baada ya Venus kuwithdraw kwa semi finals. Sasa vitu zikaget worse kulingana na famo yao time nifla Serena na Venus wakiwa wanateremka stairs kwenda kwa seats zao, wanadaisha wasee walikuwa wanawaita ‘’nigger’’. And then kulingana na mdhabus wao anadaisha aliskia mjamaa mjamo akidaisha kama ingekuwa ma ’75 wange mskin akiwa alive.

Hii sio poa at all, no wornder kila idhaa huwa wanatokea kama machampee.

Related Stories