Reasons kukopa ni blanda…

July 2 2015 9:51am     0 1699

Photo Credit:Google   Tingua risto

Photographer Brittanny Powell kutoka Steto, aliamua kukwachu risto za raiya wenye wamekuwa wakiishi kwa seni tangu wakiwa mateenie na hawana hopes za kulipia hizo madeni anytime soon.

Inadaishwa hii mkwanja hukuwa imekopwa kucover medical expenses, student loans, business ventures na pia kuboti tu stuff. Kumbe Americans wengi sana wako kwa hii ngori na ikiwa ni blanda kwa gava pia, wanadaisha shida iko kwa kukosa kufundishwa njaro za kutumia ganji bila kumisuse.

Blanda inengi inasababishwa na unemployment. Unaget wadhii huchukuwa hizo student loans ndio wachop wakidhani time watamada, watawai janta itawalipa poa alafu wamalize kulipia madeni lakini hii mradi hugonga ukuta mara fogo.

Zaidi ya kujipata hakuna waks, kuna blanda za kukuwa homeless, kuwachwa na hubby alafu unalazimika kusimamia kila kitu, ama kukuwa victim wa identity theft. Ambapo msee anachukua credit cards na majina zako alafu wesewe ndio unamuja kudaishwa expenses zao na bankiko.

Hizo deni zinadaishwa kukuwa zimefika dolare 1.2trillion, na hisihi ikiwa sector ya student loan solo. Wenye kukopa hujipata kwa ngori yenye hawawezi own keja, anzisha famo ama kuestablish bizna juu hanaku kwa kuomba tena.

Related Stories