Majongo hamna round this

November 21 2012 11:09am     0 1499

Photo Credit:Buzzle   Tingua risto

Kitambo kiasi, wathii walikua wamezoea wakiingia kwa supa, wanapitia kwa ukuta kwanza, kukwachu mkwanja ndio waboti vitu za kejani. Lakini sasa tumekua wajanje...si lazima mtu atembee na majongo zimejaa kwa mbosho, unaingia tu supa ka kawa, unaboti vitu alafu ikifika ithaa ya kukanja, unachomoa kadi. Tumetoka faa tu sana. Nini ingine umekiche imebadilika mtaani design ya mkwanja?

Related Stories