Dangulo katikati ya ubaro
November 26 2012 10:09am
0
2336

Husuko china kunacouple nifla ilikwara kumove kutoka kwa dangulo yao wakidai hiyo mkwanja wamegeiwa na gava nipienga....saa gava akaendelea na project yao nakuzidi kumekisha ubaro kando ya hiyo keja....