Bei ya jioni
December 5 2012 1:32pm
0
2152

Kuna hii movie iliactiwa hapa mtaani kitambo kiasi...ikipeana risto ya huyu mthama, Karen Blixen. Huyu Karen ndio mthama hio mtaa ya Karen imeitwa after..kuna ndege nifla ilikua kwa hio movie na inapigwa ndonyo...unaweza iboti ama?