Kamanda wa majeshi!

August 27 2012 2:23am     3 5198

Photo Credit:Google   Tingua risto

Sasa venye wadhii wana roho ya ku ingia Arme ita bidi mujue ku ingia waks arme si mchezo ... kwanza ka una want kuwa kamanda wa majeshi kama usuyu mdhii, itabaki umejitolea ile deadly.

First lazima uwe fiti ki healthy wise hight yako pia muhimu fitness yako pia lazima iwe mwenda. Juu ikiingia training pande hiyo ni zoezi mwenda, ndio kabla uende kumaliza uko 100% sure uko fiti.

Related Stories