Kenya Jamo
August 29 2012 3:26pm
1
5554

Tuko wathii kibao, lakini tuko kwa nchi jamo. Country ya vungu, Kenya Kipenzi chetu. Huyo msee ako hapo ni brassa ama mtasis wako, mbona umtakie noma aumie? Tutulize wasee. Amani!