Risto ya huyu msupa
September 5 2012 3:35pm
1
5304

Risto ya Conje ni sad. Huyu mresh amewakilisha country yetu kwa boka vipoa sana, maugoro kibao, amesaidia waresh wa mtaa kujisort na boka. Hio risto ya kumsaidia nijea?