Msee akajaribu kusanya mbota stenje.

December 2 2013 10:32am     0 1825

Photo Credit:Bossip Staff   Tingua risto

Area nifla na husuko steto, Florida kuna wasee wawili wali bambwa na mkoko imesanywa.<br /> Hawa wasee wanajulikana kama Denis Baugham na Michael Marquez. Hawa majamaa walipatikana na masansee wakishikana vita juu ya hizo burungo wamesanya. Walikuwa wamesanya hiyo mkoko na tent pamoja na stove.<br /> Sasa risto interesting ni vile walifikishwa stenje mjamo wao aka jaribu kusanya mbota yenye ilikuwa kwa wall ndani ya stenje. Ikabaki jo! amebamwa na wote wawili walicharjiwa na wakatupwa ndani.<br> Boss utaendaje kusanya kwa stenje ndani na already uko kwa noma juu ya kusanya bado?

Related Stories