Usitupe mawe police station ama?

July 17 2012 2:59pm     1 6078

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ati unazua ngori alafu kakinuka unatoka teke! Buda blanda. Utatoka teke lakini ile idhaa utapatikana uta amka. Usijaribu kuchokoza nyuki naunajua huna pahali paku jikiinga.

Chokoza ile area unajua unaweza chomoka, tulikuwa na shtebe yetu nifla alikuwa dere, alipo simamishwa na akorino. Alisimama tu vipoa venye akorino alimwitisha kitu kidogo jama aka amua kumvaa siu sare, alipo bambwa na kutupwa stenje hapo ndipo alijuuta usijaribu kutupa dimanga stenje.

Related Stories