Reason makarao hawatawahi badilika!

July 22 2014 9:26am     0 2099

Photo Credit:Google   Tingua risto

Charles Mwaniki alijipata kwa ngori moto, baada ya kuenda na document fake za KCSE kwa Recruitment ya makarao, na husuko Nyeri. Alijaribu kujitetea ati hakutambua ile cert kuwa fake juu masake ndiye alienda chuo kumchukulia. Ilibaki amebambwa na kutupwa neti hasapo stenje ya Nyeri.

Alafu mayadi za Nakuru, wadhii walimbi matape, walibambwa kama wanatry kuconn madame nifla. Walipatwa kama wananego venye huyo mbuus anaweza kohoa thao soo mbweks alafu angewai janta kwa karao.

Bado county zinengi, mayut wanazidi kucomplain venye kuna ubaguzi ikikam kurecruit wasee wale wanasaka waks kama mavedi.

Kumbe ndio maana kuna noma kwa Police Service. Enyewe kama wadhii wanasaka hiyo waks wakiwa na agenda ya kutumia position yao kuwai hongo, then hakuna siku itakuwa ni utumishi kwa wote. Itabidi tumekubali ni utumishi ya kujisaidia.

Related Stories