Wera ni wera

December 4 2013 2:11pm     0 2007

Photo Credit:Daily Post   Tingua risto

Area ya husuko Kile tunayebi risto jamo ya kutujazz sana, Hua inasemekana wera ni wera bora tu inaleta mkwanja ndio uget keroma kwa meza. Pia inasemekana mchagua jembe si mkulima...hii riba ni hio sampuli<br> Kawaida ya raiya momst hapa 254 ni ukiingia kwa wariga hutashughulika na dere ama donda wake unless mnameseana ama ile kubonga mtakua nayo ni juu ya vile uko na unyoya...kwa kawa pia kuyebi donda ama dere msupa hua ni rare sana na hata ukimyebi inakuanga ni risto ya kubonga after ushadondoka<br> Sasa kuna mathree nifla ya husuko Kile yenye donda wake ni mlami na isitoshe, ni msupa! Hatujaget kumbongesha ama kupenya hisio nganya lakini ka unaimesea ama ushaidandia, si utudungie hasapa utushow mbana za ndae yenyewe ama ulikenga kijea vile ako...

Related Stories