Taboo za ufala

June 17 2014 3:46pm     0 885

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tunaishi time yenye hanaku aibu za kubonga kuhusu risto za lungula. Lakini ukiishi Afrika kuna mayadi bado ni noma kutaja tu mambo na kusexuana.

Ambapo wasee wanataka kuexperiment ama kukuwa na experience tofauti kwa bedroom, wanapata shida bwaku sana. Hii ni juu gava mob zimekatsia imports za vifaa za kusaidia kwa area ya ulovito. Sa utapata shop zenye zitakuwa na adult sex toys hubidi kubaki siri. Inakuwa wera ya kusneakisha bidhaa kwa border na ata ninda ya country.

Wasee wa S.A, waliangukia lakini. Juu huko sex toys ziko legal na ata kuna shop 60 nationwide, za kuzikinda.  Hasapa 254, service ni tofauti, juu wadhii huprefer kufanya order via net alafu inakuwa delivered mtaani, bila hustle ya kushtuka kubambwa.

Sa badala gava zitafute venye zitaingiza mkwanja na tax, wakikubalisha hizi bidhaa kumuja, wanazidi kujifanya venye bado ni taboo na ati hazifai kuwekwa kwa display. Lakini wanajienjoy juu zinazidii kusambaa chini ya maji, hapo wakilalia tu maskio.

Related Stories