Mjamaa aligeuza mattress ikawa wifey!

June 18 2014 12:01pm     0 2186

Photo Credit:Google   Tingua risto

Mjamaa nifla kutoka Ohio, USA, aliamua kugeuza mattress ikawa wifey, baada ya kuhave sex nayo. Inasemekana alibambwa na kurushwa neti , lakini mavedi wanadai si mara ya fao.

Time moja alipatikana akimanga hiyo mattress njei ya jakes yake, lembe ya waniaju. Na akakuwa sentenced for 11months juu ya public indecency. Hapo bafo bado aliwahi bambwa akihave sex na decoration ya haloween ilikua kwa mgola yaneighbor wa kwake.

Enyewe ata wanafaa tu wampeleke mathare ya kwao juu huyo msee alishafyatu kitambo.

Related Stories