Kupata odumbo si ugonjwa!

June 27 2014 6:56pm     0 2463

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Wamadha wengi wakipata ball, wao hupenda kujibembo vimost, juu wanagwaya kitu inaweza fanyikia mtoi. Lakini husemekana ni heri msee kujitia ndani ya zoezi kiasi yake tu na delivery pia health ya both mtoi na madha itakua iko juu.

Alysia Montano, ameprove kuwa different kwa hii risto. Anasemekana kuwa a five-time U.S national champion juu ya kuhepa kwa 800m race, kuzidisha akiwa 34weeks pregnant. Ambapo ata angejifungulia hapo kwa race track, juu ya vile ako karibu na masiku za kuget mtoi.

Sa Alysia anadai eti kwanza alihata kufikisha record yake ya 1:57.34 na akaweza kumada kuhepa na dakika mbeks. Yaani ile mbio huyu mbuus ako nayo, atakuhemesha vimezesha. 

Enyewe inafaa wasee kujiaminia namna this matime.  Kama kuna kitu tunaweza learn kutoka kwake, ni kujisyke kumaliza chenye tunatamani kuduu na maisha zetu, haijalishi venye utafikisha hizo goals.

Related Stories