Unadai kuona sura ya Orezo wapi?

July 1 2014 11:48am     0 1823

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Like haitoshi kuyebi sura ya Orezo kwa noti na ganji za nchi, sa unaweza ipata kwa nangos yako for a fee. Kampu nifla inajulikana kama Caviar Perna Penna, wameamua kuenda to the extreme na kumekisha iPhone yenye iko gold coated na ikona portrait ya Orezo wa Russia.

Hii na itakuwa inakindwa $2500 na ni coz, zaidi ya kukuwa iPhone, ikona 18 carat gold, portrait ya Prezo Vladimir Putin, quote kutoka kwa Russian National Anthem na  the double headed eagle yenye ni Russia’s Coat of Arms.

Inadaishwa raiya atawai hii musi ataweza kuexpress vipoa venye yeseye ako patriotic. Orezo Putin anakaa amebambika vimost na hii project juu inashow venye wadhii wanajazika na ruling yake.

Related Stories