Michelle ni mresh wa vungu

September 6 2012 10:57am     0 2381

Photo Credit:Google   Tingua risto

Juzi Michelle Obama amepeana speech ya vungu kujaribu kuskiza wathii juu ya kurudisha Barack kwa hio ofe. Sio wasee wengi wanaweza dai vile wana msupa anaweza watetea kwa ma elections hii design. Unaonaje, huyu boiz anarudi ama?

Related Stories