Brikicho ikageuka kuwa blanda!

July 21 2014 12:42pm     0 522

Photo Credit:Google   Tingua risto

Macuzo wambweks kutoka Russia, walikamanyuria baada ya kujificha ninda ya frigesa ya grandie wao.

Anya Loushkina akiwa miaka four na cuzo wa kwake, Vika Loushkina, wa miaka six, waliamua kuchezea brikicho kwa hao ya grandie kama mapero wao walikua wameenda waks.

Kumbe huyo mshodhe hakutambua watoi wamejifungia kwa frigesa maze hasapo kwa jakes juu alikua kwa shughuli ya kuduu house chores.

By the time atambue na kuanza kusaka waniaju, walikuwa washa suffocate na kugenya. Mavedi wanadai inaonekana huto tudem tulilemewa kutingua mngola ya frigesa after kujifungia huko ndani.

Hiyo famo imebaki na msiba bwaku juu masa mjamo, alikua na huyo mniaju solo na mtasis wake amekufiwa na daughter akabaki na maboiyz pekee.

Related Stories