Wasee wamemarika hawako safe…

July 21 2014 1:22pm     0 1613

Photo Credit:Google   Tingua risto

Mjamaa mjamo anajiita Edgar, ameamua kufungua roho kuhusu situation yake, akidai wadhii wasimlaumu lakini wajaribu kukuwa understanding.

Edgar amemarry na akona waniaju watatu, lakini akona side dish hatamani kuwachilia hivi karibuni. Ata kama janta yake si mbaya, kuna venye hanaku saa zenye mkwanja hutosha. Sana sana ukiwa na famo kama yake.

Sa anadai alipatana na huyu clande wake kwa club na manzi ndio alimhanya. Ata alikua ashafanya research na alijua amemarika lakini hakumind.

 Kumbe alikua akona ganji kibao since alikua anado waks kwa kampu international alafu bado ex-hubby wake alikua anatuma cheddars za upkeep. Kuzidisha waniaju wake walikua majuu wakichop, so alikuwa amebaki solo, ameomoka na ako lonely kuruka.

Edgar alipata ameingia box ya kwake bila tafash, juu husuyu clande alikua hana wivu na wifey wake. Anawai financial support kutoka kwa mbuus alafu hakuna hustle kumdate. Juu akishamgei chenye anadai, ako free kuduu venye anawant.

Na venye iko, inakaa Edgar hayuko solo kwa hii maneno. Majamaa wengi wamekubali kukuwa na mashuge mami. Hadi institution ya marriage ishakosa maana kabisa.

Related Stories