Njaro za kusaka identity
August 20 2014 2:45pm
0
722
Photo Credit:Google Tingua risto
Kuna vitu zenye hufanyika kwa the Art world, zenye zinalead niamini artists wamefyatuka. Mjamo kama hao, alijiexibit na husuko London, na alimuja kama ameng’ara suti alimekisha kutoka kwa chicken skin.
Lewis G. Burton aliperform the fowl fashion parade kwa project inaitwa FLESH. Inadaiwa hisihi ni njaro ya kuyebi venye identity imekuwa ama imefanywa kuwa commercial kupitia social media.
Hisihi project ya kusaka identity inakaa iligusa Lewis vimajor hadi ikafanya akachagua skin ya ngwetes kuwa art. Lakini wasee walimcheki wanadai lazima ikuwe ni fetish ako nayo. Kuzidisha ilikuwa inatepa ajaab.