Tao imecrom mambuus solo!
Photo Credit:Google Tingua risto
Noiva do Cordeiro, ni tao iko juu ya mlima iko na husuko Brazil. Inasemekana ni area jamo special sana juu occupants wake ni mambuus pekee. Wako soo sita kwa jumla na kati ya miaka mbao na miaka salasa na ngovo.
Sa wametuma invites kwa machali wowote wale watajiskia kumuja kuwakatia. Lakini hao machali hawatakubalishwa kuishi ninda ya hiyo tao. Ata wakapata waniaju maboiyz, inabaki wamechujwa wakifika miaka kinde na eight.
Wanadai hawataki kukuwa dominated na majamaa. Heri kuendelea na Girl power rules zao venye wamezoea. Kwanza ati wanaishi vifiti kuliko wasee wengine. Hii ni coz wanashare kwa wera zote; ikuwe farming, town planning ama religion. Pia tao inabaki ikiwa organized na iko more harmonized. Tena hanaku risto ya compe na mashida hutatuliwa kati yao tu.
Sa unaweza kubali hiyo offer yao ama unacheki ikiwa ufala?