Jirani kutoka hell

October 7 2014 2:26pm     0 2460

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kuishi kwa ploti ni horror kuruka. Lakini kumbe ata wasee wakimaha na kuenda to the suburbs, tabia ni zile zile. Sijawai elewa kwanini maneighbor hutaka kukuwa sumbua hivyo.

Kutoka kwa kuchunisha hao na ngoma hazileti shangwe, kwanza gidhaa ama siku zile hazifai hadi  kulazimishwa kukuwa witness kwa maisha yao ya lungula, juu ya vile bed imepiga nduru ajaab.

Ata usinikumbushe kuhusu wagido zao zenye hutambua kuchill ukishaanza kugawa shake, ndio zinapiga mayowe ni kama dunia inaisha. Ama wale majirani hushinda kuweka bash kwao, woiii san asana kama ni wadhii wa yuni, manze kukosa kudoze inakam natural.

Hatuwezi sahau kubig up majirani wetu wambenyo. Wenye hujua parasha za kila keja, geri na msee ata wale wanira kwa hood. Lakini saa zingine wao hupata compe kutoka kwa mamboch, wenye pia hukua na risto juicy kuhusu madonga wao.

Alafu pia wale majirani hutafuta tu zogo. Kama si vita za kamba za cladi, itakuwa kuhusu watoi wao wanaughty ama parking space.

Wale wanashikilia kikombe kama winners ni wenye jakes zao hutepa kila day. Kama si omena ni obambla ama vitu ata hazijulikani.

Enyewe coz hanaku msee anaweza kukaa solo, itabidi tu kuzoea.

Related Stories