Njaro ya kuingiza mkwanja vismata

Nacheki nikimaha kutoka 254 na kusaka namna ya kufika Massachusetts. Manze kuna NGO nifla husuko, inalipa wadhii wanawapelekea samples za shonde.
Hisihi kampu inatambulika kama OpenBiome, wanaboti hiyo precious commodity, na unaweza kuwa unaingiza thao mbao na mbee, soh ngovo; kwa wiki alafu hadi zaidi ya mita kwa mwaka. Bora tu zikuwe ni healthy samples.
Wamekuwa kwa hii biz, miaka nnei sahii na kama 4% ya wadhii wale walipeleka samples zao,ndio waliweza kupass screening process. Hizo sample fiti, hurudi kutumika kumekisha dawa za ugonjwa inajulikana kama C.Difficile, yenye hukuwa infections kutoka kwa bacteria.
Hizo dawa zimeweza kusaidia kwa treatment zaidi ya thao mbexes kwa mahosi kama rwabe hivi.so kabla hujaanza kujudge, ni wera jamo clean, plus kuomoka ni lazima. Kwani maana ya hustle ni nini?