Usiwai tupa ngozi ya ndinyo tena
October 13 2014 3:43pm
0
2063

Kumbe ngozi ya ndinyo iko fiti kuliko ndinyo yenyewe. Lakini ndio upate ile ngozi lazima kudema ndinyo fao. Alafu kumbuka usitupe ngozi juu ikona wera kadhaa zenye unaweza kujisaidia nazo.
Tukianzia sector ya mdomo, kama wesewe hutamani kukaa kama wasee wako kwa telly na meno za white, remedy iko hasapo kwa ngozi ya ndinyo. Unafaa kurub hiyo ngozi kwa meno kila day kwa wiki ndio ifanye waks.
Mayadi za uso na skin kwa jumla, inasaidia kuhepesha mapimples na kufanya smooth kukuwa smooth. Ata inasemekana kuchuja wrinkles, uwache kukaa kamzaee.
Pia unaweza kutumia ukiumwa na insects kusimamisha ile irritation ya kujikuna na pain. Alafu mwisho inaweza kutumika kuclean. Sana sana usafi ya njuta, vitu za leather na silver jewelry.