Msee amenoki mandai vimwenda
October 15 2014 11:37am
0
2315

Kama condition ya huyu mjamaa si kuchizi sijui ni nini? Lakini imepewa jina ndio ikae kama si serious vile. Edward Smith anajulikana kama Mechaphile. Yaani msee husexua kila mechanical thing, sana sana mandai.
Smith akiwa na miaka 63, anasemekana ashajipa kwa ndai zaidi ya soh saba. Na ata ashawai lungula heli na kutry kiasi kumangana na mbuus lakini akarudia madinga juu hapo ndio love iko. Alirudi akamarry jamo; ikiwa white Volkswagen Beetle yenye inaitwa Vanilla.
Anadai ulovito ya kwake iko kibao na ata Vanilla hajawai mind akiendea mandai zinengi. Kama unashangaa venye yeseye hutuna na ndai itabaki umejisort, juu wasee wanapenda mandai tu ndio wanaweza kuelewa.