Aka kamanyuria juu ya dude

October 21 2014 1:55pm     0 405

Photo Credit:BBC Swahili   Tingua risto

Kuna mjamaa nifla anajulikana kama Peter Biaksangzuala, ni player wa futa husuko India. Huyu mjamaa alikamanyuria akiwa anacelebrate dude yenye alikuwa ametinga.

Peter alikuwa player wa Bethlehem Vengthlang FC na alikuwa na miaka mbao na tatu, na walikuwa wanagusa na Chanmari FC. Venye Peter alitinga dude akiwa anacelebrate alijaribu kupiga sama, hapo ndipo alianguka vibaya sana.

Alikimbiza hosi kufanyiwa operation, lakini baadaye alirudi akagenya. Risto kutoka ligi inajiita Mizoram kupitia Facebook, ilidaisha imelostisha player mbest sana. Inasemekana Peter alikuwa player mzuri sana na pia alikuwa hardworking tu sana.

Related Stories