F1 sport expe tu sana

October 29 2014 3:51pm     0 805

Photo Credit:AFP   Tingua risto

Formula One ni moja ya zile sport expe sana kwa world, na hasapa tunacheki kampu kadhaa za F1 zimeshindwa ku afford kuparticipate kwa hii race.

Wikendi inamuja ya date Oct 31st – Nov 2nd patakuwa na F1 husuko Steto. Still this Month tu ya Oct, pamekuwa na race ya F1 husuko Russia, na tunacheki team mob sana ziliweza kumochoa madinga na zika participate.

Sasa United States Grand Prix, kunazo team kadhaa zimejimochoa kwa hisihi race juu imekuwa expe sana. Kampu zimejimochoa ni Marussia na Caterham, hizi team mbili tangu zijoin two thao na kinde, zimekuwa ziki struggle sana kujimaintain kwa hizi race.

Hizi team mbili zimekuwa zikimochoa madere wanoma sana, but saa hii pahali inaelekea inaonekana kuna venye zinaweza dunda.

Kulingana na Andretti, 1978 F1 World Champion, alikuwa anadaisha F1 imekuwa expe sana. Ata venye race zilikuwa Russia, madinga mob sana zilishinda zimesimama juu ya irori. Alafu pia cost ya Michelin taya imekuwa costly sana. So hizo ndizo reasons zinamake team mob zinajichuja, and then ukihata race tatu inabaki lazima kujichuja roho safi.

Related Stories