Klabu ya fao kuingia State Hao

November 14 2014 3:22pm     1 1348

Photo Credit:Vincent Omolo   Tingua risto

Machampee wa Kenya Premier League (KPL) Kogalo, tunacheki waliweza ku invitiwa kuingia State House na kuweza kumeet na Orezo.

Kogalo ndio team ya fao (KPL), kuweza ingia State House,kwa hii gava ya Uhunye after kushinda trophy ya this season. Gor wakiwa State House, Orezo aliweza kuwa promise kuwasakanyia sponsors next season. Na Orezo aliwashow risto ya sponsor wamsarie yeseye personally atawasakanyia.

Kwa hiyo harakati, Uhunye alitoboka mita mbwegze, ziende kwa klabu, alafu mita ingine jamo iendee team.Waliposhinda trophy kogalo walitobokewa mita nne, alafu ma-leaders wengine pia wakatoboka. Na bado wanaexpect maleaders wengine wata watoboka kakitu.

Ambrose Racheir, chair modo wa Kogalo, aliplead na Orezo akimshow anafaa kuyebi risto ya hooliganism. Mafans wa Kogalo for long wamekuwa wakijulikana kuzua frakas kila time wakiwa wanagusa, na inasemekana hanaku chenye gava huduu. But Orezo amedaisha hiyo risto lazima ataishugulikia.

Related Stories