LeBron aka break royal protocol

December 10 2014 1:32pm     0 577

Photo Credit:Mark Patterson , UK Staff Writer    Tingua risto

Prince George na Princess Kate wakiwa ndirao husuko Steto, wasee wengi sana walipata chance ya kuwagotea na kuchapiana nao.

Kuna kiblanda ilitokea ile idhaa LeBron James alipata time ya kuchapiana na wao. Ilikuwa tu amemada kugusa game ndio akaget kuchapiana na wao. Tunajua Prince na Princess wanapenda bake tu sana na walikuwa na hiyo chance ya kuingia court na kuyebi bake.

Noma ni venye LeBron James alikuwa anawapatia jersey yake ya bake, alishika Princess Kate. Kumshika tu sio poa kulingana na wasee wa Brito. Ule ni msee respected sana na hafai kuwa anashikwa shikwa na wasee wale sio wa Royal Family.

Inasemekana wasee wa Steto ni wasee wa touchy touchy sana na hapo ndipo kunawaga na difference ya Steto na Brito. Wasee wanakashif sana LeBron wakidaisha, mwanzo angepiga angalau shower kabla kuduu stuff kama hiyo. But haikuwa kitu mbaya kuletea Prince na Princess jersey ya kumkumbuka matime.

Related Stories