Ngori kutokelezea okongo

December 17 2014 5:14pm     2 317

Photo Credit:Ghetto Radio   Tingua risto

Ngware ya Weno 17th Dec 2014, raiya wa mtaa ya okongo waliraukia masaibu haijuani. Manze jakes ya floors kobole iliamua kujiachilia na kudundia wasee wakiwa wametuna.

Hisihi 5 storey building ilicollapse gidhaa ya 3am na kutrap wadhii kwa makeja. Riba ya mwisho kutoka hiyo scene, ilidaisha wasee wasaba walikuwa rescued. Lakini bado operation ya kusave wengine inazidi.

Kumbe kulikuwa na construction inaendelea ya kuongezea floor ya sita. Lakini bado kanjo wanadai kufanya investigations kujua sababu ya keja kudunda. At least NYS wako area wakisaidia kwa rescue mission. 

Related Stories