Masaku 7s 2015 husuko Macha

July 3 2015 1:55pm     0 854

Photo Credit:Raga House   Tingua risto

Edition ya fotho Masaku 7's international Festival imekuwa ya siku karibu sita hivi but main event itakuwa hii wikendi.

Festival yenyewe ilianza date 30th kuanzia machuo za raima, seko, makole na pia makampo. Inasemekana International teams zimesha make applications za kuparticipate kwa hii event. Na team zina expectiwa kuperform ni kama; Fiji, Australia, USA, UK, Europe, Africa na Asia.

Hii event itakuwa Macha, tao inatambulika kama ‘’Sin City’’ baada ya events kadhaa zimepita wasee kubehave viudu husuko. But this time round wanadaisha haitakuwa hivyo. Officials wanadaisha raundi thisis itabidi wasee wamebehave. Na bado anadaisha wasee wasigwaye kufika juu patakuwa na security jamo tight sana kufight against terrorism.

Event ya last time tunacheki Fiji ilimanage kuriada Uganda 30-15 na wakapenya na ganji nusu mita, nao UG wakapenya na thao soh mbwegze.

Related Stories