Saa zingine hua kananunga
August 7 2012 10:36am
2
42269

Wanasemanga mwenye ako juu mgoje down...unawezaje kua wewe ndio msoo alafu unamezeshea? Saa zingine mambo hubadilika unajiget ni wewe sasa ndio unapaishwa. Unakiche hio risto jea?