Buoyz anafanya mambo husuko mayolo wacha tu!!!!
December 19 2012 1:22pm
0
408
Photo Credit:BY Andrew Onyango Tingua risto
Huyu mboiz anajiita "The African King" anafanya mambo husuko mayolo niaje....Ali borniwa majuu lakini ni mkenya....Ame awardiwa awards kadhaa juu ya talent yake...