Majama Wanakwara mambuus kudunga skanyora pienga wakimuja ofe ???
January 15 2013 1:25pm
0
2124

Majama wandai mambuus wakidunga kamutula wakikuom ofe sio best juu yakuchocha.Na juu ya hiyo story mambuus wanakubaliana na majama.