Utumishi kwa wote!

December 6 2013 5:22pm     0 629

Photo Credit:OMG Facts   Tingua risto

Area kibao huwa hazijali na maisha za malanga. Lakini hii ni riba tofauti ukienda Spain. Gava ya husuko Spain imeamua mapoko wote ni lazima kung'ara zile reflective vest magizani ndio wapunguze kubondwa na mandai wakiwa waks.<br> Ambapo akipatikana hajacladi, inabidi amekohoa thao nne kama fine ama atupwe stenje.<br> Wakati hizi mayadi za 254 wadhii wa nduthii na bike ndio wanahangaishwa na kanjo, kumbe kwingine wana zao za kipekee! <br> Hii riba unaikenga kijea, mapoko wapewe cladi na area specific za kudo waks bila kusumbuliwa ama?

Related Stories