Malanga wa Brazil

June 19 2014 1:47pm     0 774

Photo Credit:Google   Tingua risto

Brazil husemekana kukuwa the seventh wealthiest country, dunia nzima ikikuja risto za economy. Lakini at the same time, pia ndio ikona raiya wamekapitia na wanatambua tu poverty maisha yao yote. Sa hubidi hustle mwenda kujitoa kwa hii shida lakini wasee huwachukulia advantage.

Imekuwa worse venye World Cup iko hosted huko. Kunao mapimp wanalazimisha waniaju wasmall kutoka age10, kujikinda kama makuro kwa wageni wale wamemuja kuyebi game za futa. Both madem na machali wameingizwa kwa hii biz na wanalipwa as low as soh na finje (150) kujikinda.

Unapata hao waniaju wakijipakanisha make-up ndio wakae wazae kuliko miaka zao, alafu wanajipanga lembe ya mahoteli za mafans wa futa ndio wapate make. Pia wale wengi inabidi kuchangamkia tap tap ndio waweze kuduu hii wera.

Ata wanadai kutumia glue ndio watie zii risto ya kanenge. Nazo masaibu za kukuwa langa ni kibao, juu utapata wengine wanamadwa na wadhii wanawatumia na hawataki kuwalipa. Kuzidisha makarao wanajifanya hawatambui kile inago down.  

Related Stories