Wanadai kujulikana!

December 10 2013 11:26am     0 451

Photo Credit:Standard Media   Tingua risto

Back then hii ilikua kitu ya aajab kuskia hasapa 254 lakini over time risto zimekua zikibadilika omole. Siku hizi imekuwa kawa kuskia risto za wasee wanjitambulisha ama wanatoklezea kudaisha hao ni ma-lesbian ama ma-homo.<br> Kuna umati nifla wamekuwa wakidaisha kuskika, kupewa heshma kama wadhii wengine na kadhalika juu wanajipata mashakani, si waks, chuo, mtaani nini nini. Yaani rights zao kuna vile wananyongewa, hadi kuna madem wambexes wamejitokeza na riba za venye walianza kuwa ma-lezzie.<br> Wanadai wasee wanafaa kuwacha kujifanya juu hii si risto itadedi soon. Wanadaisha pia ati kuna wale wengi wamemarika ama wakamarry ndio wasijulikane status zao za ukweli na society juu ya discrimination. Kumbe wanaendelea hizo tabia na maclande chini ya waba na hio si poa.<br> Unaweza kubali ikuwe sawa ma-homo kumariana ama unayebi hii riba kijea?

Related Stories