Millionaire anaishi kama street sweeper

January 17 2014 11:39am     0 386

Photo Credit:Starndard Digital   Tingua risto

Kuna mchinku nifla anaishi life mara mbekses,life ya fao yeseye ni donga alafu life ya seko anaishi kama msee amesota.Huyu msee anajiita Yu Youzhen akona miaka 54,baada ya ku cleania gova, ilimgei mita kinde yuan(10million yuan) ni equivalent na 1 million pounds.Lakini badala ya kuishi maisha ya kiudosi, aliendelea na janta yake ya ku fagia street.Anadai ana keep hii job juu hataki ku set bad example kwa waniaju wake.Anadai janta sio eti juu ya mndesha pekeyake but ina ku keep focused, juu laziness ikona all sorts of bad habbits.Ikakuwa ni wesewe unaweza chagua kuishi maisha gani ? ni chapie jo!

Related Stories