Venye kubonga na ukuta

October 27 2014 3:26pm     0 762

Photo Credit:Google   Tingua risto

Na technology nira, tuliweza rahisishiwa wera ya kupanga line kwa bank, ukichill kuweka ama kuchomoa ganji. Sa unaweza fika kwa ATM na kuwai services unadai bila hustle na kwa area yoyote ile, sana sana njei ya GG.

Lakini kuna venye mthama mjamo hakufurahishwa na ATM aliendea kujaribu kuchomoa doh alafu ikakwara. Husuyu Mchinku alijamishwa na ATM alikuwa amejaribu kutumia hadi akaanza kuitoanisha na akamanage kudismantle mashini nzima, ikabaki pieces.

Kacrowd ka wasee kalibambika kusimama kucheki vile huyo mthama alifyatukia ile ATM ata wakampiga mambisha, wakichukua videsa ya hiyo strange act. Masecurity guards watatu walifika kwa scene lakini hanaku msee alimstop. Juu alimaliza kuitoanisha na madakika kiasi sana. Ilibidi makarao ndio wamekam kumtoa hasapo.

Husuyo mthama alirudi kudai alijaribu kutoa mkwanja mara kadhaa, kila time ikidinda. Makarao nao walidai hiyo ATM ilikua mzae sana, ndio maana aliweza kuidismantle na mikono tupu.  Unaweza shangaa kama hizo machines zinengi zikosecure am azote zinaweza fanyiwa hivi na bankiko kulostisha cheddars kiufala.

Related Stories